Breaking News

 Leo siku ya Ijumaa 23 July 2021

Kutakuwa na usajili wa laini za #TTCL kwa Wanafunzi wa #KIST laini zitasajiliwa  #bure kikubwa fika na:

Namba ya NIDA

Kitambulisho cha Taifa

Pia kama huna usisite kuja.

Wahi mapema kuepuka foleni.

Nawatakia maandalizi mema ya Ijuma na UI.

Post a Comment

أحدث أقدم
Contact ME
close