Breaking News

 

Ni Raia wa Indonesia aliefahamika kwa jina la Khoirul Anam ambae ameingia katika vichwa vya habari baada ya kuamua kufungua ndoa na sufuria ya kupikia ubwabwa yaani ‘Rice Cooker’.

Raia huyo mwenye mahaba mazito na mkewe huyo wa kushangaza yaani Sufuria la Ubwabwa aliamua kuweka picha hizo hadharani na kuujulisha umma kuhusu ndoa yake

Post a Comment

أحدث أقدم
Contact ME
close