Breaking News

 Dar es Salaam. 

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi 30, Oktoba 2021 limetangaza matokeo ya darasa la saba huku mtahiniwa Eluleki Evaristo Haule amepata alama nyingi zaidi kuliko wenzake.

Akitangaza matokeo hayo leo Jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk Charles Msonde ametawa watahiniwa kumi bora kitaifa.

Soma hapa matokeo ya darasa la saba 2021



Post a Comment

أحدث أقدم
Contact ME
close