Breaking News

 


Akpan PIC

INASEMEKANA mabosi wa Simba wameishakamilisha dili la kiungo wa Coastal Union Mnigeria, Victor Akpan kwa ajili ya kuwatumikia msimu ujao.
Rafiki wa karibu wa staa huyo aliiambia Mwanaspoti kuwa, tayari Simba wamemaliza na nyota huyo na sasa ni suala la muda tu kumtambulisha kwa wanamsimbazi hasa baada ya ujio wa kocha mpya anayekuja kuchukua nafasi ya Pablo Franco.

Akpan (24) ambaye alikuwa amebakiza mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia CoastalUnion amesaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wanasimba kwa msimu wa 2022/23.

Post a Comment

أحدث أقدم
Contact ME
close