Breaking News

 DC Handeni awataka wanaume kuacha kunyonya maziwa ya wake zao wakidai yanaongeza nguvu za kiume (+ Video)

Bongo 5Aug 12, 2021

Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga, wamemwomba Mkuu wa Wilaya Siriel Mchembe apaze sauti dhidi ya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao kwa madai yanawaongezea nguvu za kiume. Mchembe amesema tabia hiyo inawakosesha watoto maziwa ya mama, na kuwa hatarini kupata magonjwa.

https://youtu.be/fEZfwsM5wvk

Post a Comment

أحدث أقدم
Contact ME
close